DKT. NGIDO: BARRICK IMEFANYA MAGEUZI MAKUBWA

Meneja wa Migodi ya Barrick Tanzania na Twiga Minerals, Dkt. Melkiory Ngido amehutubia Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi, Watendaji wa Mashirika ya umma na Wakala wa Serikali na kueleza hatua mbalimbali za mageuzi ya uendeshaji wa migodi hiyo.

“Tangu tulipochukua migodi hiyo mwaka 2019 tumefanya mageuzi makubwa na kuponya majeraha hasa kurejesha mahusiano na wananchi” amesema Dkt. Ngido mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko wakati wa hafla ya kufunga kikao hicho. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *