Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Shedrack Mziray amesema ushiriki wa Taasisi yake katika kongamano la kimataifa la kupima malengo ya dunia ya kupambana na umaskini kupitia matumizi ya tafiti na takwimu (deep), limesaidia kuongeza uelewa kwa TASAF katika kuzibaini kaya na watu maskini nchini Tanzania.
Kongamano hilo limefanyika kwa siku tatu kuanzia Juni 11-13, 2025 jijini Arusha.
Leave a Reply