MAKONDA: CHANGAMKIENI FURSA KARIBU KILI-FAIR

Jumatatu Juni 02, 2025 Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametembelea Viwanja vya Magereza, Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha, kukagua maendeleo ya maandalizi ya maonesho ya Utalii ya KARIBU KILI-FAIR yatakayofayika kuanzia Juni 6-8, 2025.

Makonda ametoa wito kwa wakazi wa Arusha na maeneo mengine nchini, kuchangamkia fursa hiyo kufanya biashara kwa kutoa  huduma mbalimbali kwa wageni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *