Taasisi ya Simama na Mama Tanzania yenye makao yake makuu mkoani Mbeya, yenye malengo ya Uwezeshaji Kiuchumi, Siasa na Elimu ya Uraia kwa Wanawake na Vijana imezinduliwa mkoani Arusha, ambapo itatoa huduma kwa mikoa ya kanda ya kaskazini.
Uzinduzi huo umeongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude.










Leave a Reply