Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imejivunia mafanikio katika Uhifadhi baada ya kufanikiwa kushinda Tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii barani Afrika 2025 ambayo hutolewa na Mtandao wa World Travel Awards (WTA).
NGORONGORO YAFURAHIA TUZO

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imejivunia mafanikio katika Uhifadhi baada ya kufanikiwa kushinda Tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii barani Afrika 2025 ambayo hutolewa na Mtandao wa World Travel Awards (WTA).
Website: https://angelomedia.co.tz
Leave a Reply