WAKUU WA MAJESHI SADC KUKUTANA ARUSHA

Mkutano wa 33 wa Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unatarajiwa kuanza jumatatu Mei 26, 2025 jijini Arusha.

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda imeeleza kuwa tayari nchi 19 zimethibitisha kuhudhuria mkutano huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *